Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usibet kwa kutamanishwa na odds au jina la timu bet kwa kufanya deep analysis hiyo ilikuwa inanikumba sana mimi pia epuka kukimbilia points kubwa au kubet direct angalia options zingine zaidi

Pia kama una roho ngumu ingia live bet chagua zile zilizofikia dakika ya 80 angalia option nzuri weka dau kula mpunga
Wadau nisaidieni mi sikuizi kila nikibeti mkeka unaungua yaani kama laana hivi yaani Leo nimetengeneza mikeka mi NNE ya odds mbili mbili yaani imeungua yote shida gani IPO kwangu niambieni wadau

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sijakuelewa hembu nielekeze vizuri mkuu nadhani Luna kitu nakosea mi sina faida kabisa kwa mhindi kila Sikh ni hasara nielekeze mkuu tofauti ya kucheza mchezo wa kubeti na kufanya kazi ya kubeti
pole Sana mkuu,
Kuna mahali unakosea,

Nmejaribu kukufatilia kiasi chake.

Nlichogundua
Unacheza mchezo wa kubeti badala ya kufanya kazi ya kubeti.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lampard kaweka ma video queen leo
Leicester kakaziwa na Pukki


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu kuna wahindi wako dark web wanauza fixed za criket. Jamaa ndio biashara yao wameanzisha Hadi mashindano makubwa ya criket kule Abu Dhabi ambayo mechi zote zimepangwa kila matukio kwa script kwa hiyo hupati matokeo tu.. wanakupa kuanzia kipute kinapoanzia Hadi mwisho wake.

Ila ubaya wao wanataka watu wenye mzigo yaani wakiimpa fixed akiweka hela anamfua kanji balaa. Na unawalipa baada ya kumtamdika mhindi(bookmaker). Hawa ndio legit fixed match wa ukweli ninao wajua.

Wengine wanatoka East Europe wanafix mechi za ligi daraja la pili za German league fresh bila zongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara (betting) huongozwa na vitu vitatu.
1.emotional, (hisia)
2.greed,(tamaa)
3.fear,(uoga)

Kwa nini tunapoteza sana pesa.
1.Tamaa ikiwa juu kuliko uogana hisia kupoteza ni haraka kwa sababu mara nyingi unaweza kwenda kinyume uhalisia.
Uoga ukizidi uhalisia na hisia nayo ni mbaya kupoteza ni rahisi. Lazima hivi vitu vitatu viwe na uhiyano mzuri ndipo utaona faida ya betting.

Wapo watu wanaajira ila betting ni temp. office na inawaingizia faida nzuri tu.. makamaria wengi tamaa ipo juu sana.

Analysis husaidia kupata faida na betting.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu humu stage ya tamaa wameivuka kina mayu kina sungusungu kina jimmy kina deep kina soka2** wapo wengi wameweza kushinda tamaa bravo kwao kanji anatami kuwafungia ila ngumu.
Mimi bado tamaa inanivuta vuta shati napambana kuikimbia.
Ili nianze kustake amount kubwa ila affordable to lose.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom