Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Fuatilia hiyo documentary ya aljazeera ndio utaona huu mtandao wa game fixing ni mkubwa saana from India, Bangladesh, Sri Lanka to England e.t.c

Binadamu habaniki kivyovyote vile, atatoboa tu. Wale mbwa wanafix kuanzia amateur game Hadi international. Na Kama haitoshi wanaanzisha mashindano yao tournament na kuomba kibali Cha recognition ICC then wanaingizwa kwenye bookies watu wanatia mzigo wanatengeneza mega profit. Ukiweza kuzama dark web ndio utakutana na manyalali, mataikuni yaliyoshindikana ya game fixing ushangae, achana na wale wa Waghana, Wanaijeria na Wakenya wa telegram na WhatsApp wale ni matapeli tu mafundi wenyewe wanapatikana shimoni kunaitwa Dark web. Huko unauziwa hadi kifaru na mabomu Kama unauziwa shati kwenye duka la boutique.

Kijana dunia ina mengi hii.View attachment 1292659

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama unaangaliaga mpira vizur kabisa, na ni shabiki wa mpira ni ngumu sana kuaamin hizo fix

Mfano game ya,, liverpool na watford

Nimepitia web zote zinazopredict ila kwa matokeo yamevotoka wote wameangukia pua

Game ya chelsea na bounermonth, nimepitia web zote za prediction wameangukia pua

Kitu kinachoitwa correct score ni ngumi sana kukitabili

Nadhan hata kocha mwenyew hawez unlesa otherwise timu mbili zote na zikubaliane
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]

Kuna baadhi ya league kupata fixed match n simple ila england huku ni motoo

ila huko india vi team vya mchangani ni very simple kupata fix match

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona kama hapo mkeka ulikuwa unakwenda vizuri ghafla anatokea "shoga" mmoja anaitwa "antelope" anatafuta bwana weekend yote hii😡....mmxxeew
Screenshot_20191214-224303_Chrome.jpg


Screenshot_20191214-224220_Chrome.jpg
😡
 
Mkuu kama unaangaliaga mpira vizur kabisa, na ni shabiki wa mpira ni ngumu sana kuaamin hizo fix

Mfano game ya,, liverpool na watford

Nimepitia web zote zinazopredict ila kwa matokeo yamevotoka wote wameangukia pua

Game ya chelsea na bounermonth, nimepitia web zote za prediction wameangukia pua

Kitu kinachoitwa correct score ni ngumi sana kukitabili

Nadhan hata kocha mwenyew hawez unlesa otherwise timu mbili zote na zikubaliane
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]

Kuna baadhi ya league kupata fixed match n simple ila england huku ni motoo

ila huko india vi team vya mchangani ni very simple kupata fix match

Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi kuu England ni ngumu kupanga matokeo utamlipa Bei game Pogba, De gea, Maguire wakuelewe na waifuate script yako? Ni ngumu sana sio Siri na sikuwahi kusikia hata scandal tu za EPL kuhusika na haya.

Ila inawezekana sana kwa timu za watoto wa under 19 ambao bado wanakula na kulala nyumbani wakipewa dola 150 kila mmoja wanadata wale watoto mara nyingi nchi zenye maisha magumu Kama Sri Lanka, India, Pakistan Hawa ni fasta tu, ukiwaambia wapigwe handicap, card ziwe nne, corner watoe tano wanafuata na matokeo yanaisha Kama ulivyoagiza.

Sasa Basi ukiona mtu anakupa fixed za ligi kuu uingereza kimbia, ukiona unapewa za under 19 kutoka German, turkey, Italy au Eastern Europe hizo chukua fasta huko wapo wale Mafia wenyewe wanafanyaga biashara haramu tu kama hizo na zinawalipa. Wanaweka mzigo wao na wanauza kwa trusted people wachache tu duniani.

Fixed zipo kibao dark web tatizo wanajificha Sana wale jamaa sababu ni uhalifu usitegemee kuwapata telegram, WhatsApp au Google never.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama unaangaliaga mpira vizur kabisa, na ni shabiki wa mpira ni ngumu sana kuaamin hizo fix

Mfano game ya,, liverpool na watford

Nimepitia web zote zinazopredict ila kwa matokeo yamevotoka wote wameangukia pua

Game ya chelsea na bounermonth, nimepitia web zote za prediction wameangukia pua

Kitu kinachoitwa correct score ni ngumi sana kukitabili

Nadhan hata kocha mwenyew hawez unlesa otherwise timu mbili zote na zikubaliane
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]

Kuna baadhi ya league kupata fixed match n simple ila england huku ni motoo

ila huko india vi team vya mchangani ni very simple kupata fix match

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakubaliana na wewe kwa mtazamo kuwa kuna timu kutoka ligi za baadhi ya vinchi fulani fulani ni ngumu sana ku-win bet ata ufanye analysis ya namna gani
 
Back
Top Bottom