Hahaha dah!...mkuu kwahiyo kuna bookers "wachawi"Kuna baadhi ya kampuni nikiweka mkeka lazima uchanike hata kama match ni moja/Single bet na pigwa tu
Moja wapo ya kampuni hio ni ile kongwe na inayoongoza kwa options nyingi ikifwatana na ile mpya pia ina option nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya kampuni nikiweka mkeka lazima uchanike hata kama match ni moja/Single bet na pigwa tu
Moja wapo ya kampuni hio ni ile kongwe na inayoongoza kwa options nyingi ikifwatana na ile mpya pia ina option nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha dah!...mkuu kwahiyo kuna bookers "wachawi"
Pole sanaNimetumia kampuni nyingi, tamaa ya kutamani odds nono au options nyingi ndio kunako niamishaga.
Ila hizo kampuni mbili nimewanyoshea mikono tena huwa najitaidi kuweka stake nzuri kwa single bet ila naambulia AYeEe yaaah....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mxclhzhcshkxxxmae zake kanji.
Kanji sio mtu siku za weekend.Tusi Jipya
Sent from my iPhone using JamiiForums
I can win 12K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz