Game ya ajax ninauhakika kuna gor 3+Twende Kasi Odd 10 hizo Lolote laweza tokea.
I can win 12K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tzView attachment 1292911
Sent using Jamii Forums mobile app
kama umechelewa nenda kaifungue ile ticket yako,chini kabisa kuna neno copy my bet slip,ukicopy ulipe tena ata sh.1,then chagua option ya kushare boss,kizuri kula na wenzakoNshachelewa
Iyo ya Wolves ni most Likely nzuri kuicheza Single, Ngoja niiwekee mzigo
Kuna watu humu stage ya tamaa wameivuka kina mayu kina sungusungu kina jimmy kina deep kina soka2** wapo wengi wameweza kushinda tamaa bravo kwao kanji anatami kuwafungia ila ngumu.
Mimi bado tamaa inanivuta vuta shati napambana kuikimbia.
Ili nianze kustake amount kubwa ila affordable to lose.
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't waste your (Time plus Money)
tuma link kama in bet pawaView attachment 1292928Nawaza apa apo sijui nipige na 20k or 10k stake