tshabalala_the_greto
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 452
- 229
****BET WOON***Inplay
Laliga
Athletic vs Eibbar
Yellow card: Total over 2.5 at full-time
Odds: 1.9
Sent using Jamii Forums mobile app
Master nakuona unafanya Sanaa zako easily. Leo usisahau kutuletea mchanganuo wa mapato ya siku nzima tuhamasike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama unaangaliaga mpira vizur kabisa, na ni shabiki wa mpira ni ngumu sana kuaamin hizo fixFuatilia hiyo documentary ya aljazeera ndio utaona huu mtandao wa game fixing ni mkubwa saana from India, Bangladesh, Sri Lanka to England e.t.c
Binadamu habaniki kivyovyote vile, atatoboa tu. Wale mbwa wanafix kuanzia amateur game Hadi international. Na Kama haitoshi wanaanzisha mashindano yao tournament na kuomba kibali Cha recognition ICC then wanaingizwa kwenye bookies watu wanatia mzigo wanatengeneza mega profit. Ukiweza kuzama dark web ndio utakutana na manyalali, mataikuni yaliyoshindikana ya game fixing ushangae, achana na wale wa Waghana, Wanaijeria na Wakenya wa telegram na WhatsApp wale ni matapeli tu mafundi wenyewe wanapatikana shimoni kunaitwa Dark web. Huko unauziwa hadi kifaru na mabomu Kama unauziwa shati kwenye duka la boutique.
Kijana dunia ina mengi hii.View attachment 1292659
Sent using Jamii Forums mobile app
****BET WOON***Inplay
France
Brestois vs Nice
First half fouls handicap: Nice win (+3.5)
Odds: 1.80
Sent using Jamii Forums mobile app
****BET WOOON****Inplay
France
Nimes vs Nantes
First half corner handicap: Nantes win (+1.5)
Odds: 1.49
Sent using Jamii Forums mobile app
***LOST***Inplay
Laliga
Athletic vs Eibar
Total shots on target: over 5.5 at full-time
Odds: 1.8
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi kuu England ni ngumu kupanga matokeo utamlipa Bei game Pogba, De gea, Maguire wakuelewe na waifuate script yako? Ni ngumu sana sio Siri na sikuwahi kusikia hata scandal tu za EPL kuhusika na haya.Mkuu kama unaangaliaga mpira vizur kabisa, na ni shabiki wa mpira ni ngumu sana kuaamin hizo fix
Mfano game ya,, liverpool na watford
Nimepitia web zote zinazopredict ila kwa matokeo yamevotoka wote wameangukia pua
Game ya chelsea na bounermonth, nimepitia web zote za prediction wameangukia pua
Kitu kinachoitwa correct score ni ngumi sana kukitabili
Nadhan hata kocha mwenyew hawez unlesa otherwise timu mbili zote na zikubaliane
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]
Kuna baadhi ya league kupata fixed match n simple ila england huku ni motoo
ila huko india vi team vya mchangani ni very simple kupata fix match
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakubaliana na wewe kwa mtazamo kuwa kuna timu kutoka ligi za baadhi ya vinchi fulani fulani ni ngumu sana ku-win bet ata ufanye analysis ya namna ganiMkuu kama unaangaliaga mpira vizur kabisa, na ni shabiki wa mpira ni ngumu sana kuaamin hizo fix
Mfano game ya,, liverpool na watford
Nimepitia web zote zinazopredict ila kwa matokeo yamevotoka wote wameangukia pua
Game ya chelsea na bounermonth, nimepitia web zote za prediction wameangukia pua
Kitu kinachoitwa correct score ni ngumi sana kukitabili
Nadhan hata kocha mwenyew hawez unlesa otherwise timu mbili zote na zikubaliane
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]
Kuna baadhi ya league kupata fixed match n simple ila england huku ni motoo
ila huko india vi team vya mchangani ni very simple kupata fix match
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo wachawi kama wote,.kula pesa ya kanji kweli kazi .namaliza kudeposite nimpe napoli nakuta katundikwa dkk ya 3. Ngoja ninywe maji niwemtazamaji
Sent using Jamii Forums mobile app