project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
Wakuu tusaidiane hapa hizi asilimia kwenye m bet huonyesha niniView attachment 1294279
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok yaan magoli yaweje maan wana weza toka 100 kwa 110 mfano msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha na kodi mkuu hapo kwenye mechi yenyewe kuna moja imeandikwa asilimia 98 na nyingine imeandikwa asilimia mbili humaanisha nini mkuu
Imefungiwa tyr iyo ad uende ofisi za Safaricom na kitambulishoYahn hadi nikajua labda kiswaswadu changu kimekufa hakipokei sms ikabd nibadili chip kwnye simu kubwa lakn wapi.....
Hii shida itakuwa nn au ndo line imefungiwa mama.eView attachment 1293849
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana nlijarib nlikula sana mpka nikafikisha 30k zikapukutika mpka 7k. Nmempa livapl kesho ashinde.....lkn nmeweza kuuelewa kdogooNa ujue dk 10 hizo hzo unaeza kula milion chap.
Hyo asilimia kubwa mfano 98 huonyesha uwezekano wa hilo tukio kutokea au kufanikiwa na hyo hyo 2 ni hvyo hvyo so za muhindi changanya na zako,mfano hapo kwa liva alivyopewa
unajumlisha 100 + 110 = 210 so 210 ni namba shufwa n kama uliweka even unakua umeshinda iyo bet.
Hyo asilimia kubwa mfano 98 huonyesha uwezekano wa hilo tukio kutokea au kufanikiwa na hyo hyo 2 ni hvyo hvyo so za muhindi changanya na zako,mfano hapo kwa liva alivyopewaView attachment 1294319
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa ufafanuziHyo asilimia kubwa mfano 98 huonyesha uwezekano wa hilo tukio kutokea au kufanikiwa na hyo hyo 2 ni hvyo hvyo so za muhindi changanya na zako,mfano hapo kwa liva alivyopewaView attachment 1294319
Sent using Jamii Forums mobile app
weka MkuuNataka niweke 100kPalace vs Brighton GgCagliari vs Lazio Ggushauri wenu tafadhaliundefinedSent using Jamii Forums mobile app
Gurudumu ni mchezo hatari sana kwa pochi ya mtu na wakati huo huo pochi inaeza kua ni afya ya pochi.Jana nlijarib nlikula sana mpka nikafikisha 30k zikapukutika mpka 7k. Nmempa livapl kesho ashinde.....lkn nmeweza kuuelewa kdogoo
Sent using Jamii Forums mobile app