1-1 mkuu mwnyew cjalal nlkuwa naisubr hii gamelazio anataka kuniyima mtaji anashindwa toa 2+
Eeeenh bana eee Lazio jeshi, kapindua meza dk za mwisholazio anataka kuniyima mtaji anashindwa toa 2+
Tayari huko mjomba...Lazio anaongoza 2 - 1...mambo ni motroooo🔥🔥lazio anataka kuniyima mtaji anashindwa toa 2+
Mkuu umepishana na gari la mshahara. Goma lishatema. AISEEEEE.nimechelewa kuona comment yako,nimeitupa 100k kwenye nba sijui kama usingizi utakuja vizuri aseeundefinedSent using Jamii Forums mobile app
Leo tips zote zimetoa mtu wangu.Mkuu umepishana na gari la mshahara. Goma lishatema. AISEEEEE.
acha tu tumbo lilipata motoTayari huko mjomba...Lazio anaongoza 2 - 1...mambo ni motroooo🔥🔥
Mkuu tuko pamoja kuelekea ktk safari ya mafanikio👊👊OFFICIAL START,
JOURNEY TO THE MAGICAL OF JGB 2020
Baada ya kupiga research 15days na kuloose 1 [emoji848]skuwa na sabab yakuendelea
Now Am starts my daily earning,
Nimeanza na Elfu 20,000 per day
Monthly inakuja Laki, 600,000
Mshahara mzurii tu najilipa[emoji23][emoji23]
Baada ya hapo, dau linapanda,
Day 1. Bet Won
Profit: Elfu 20,348
Days,remain 29
[emoji855]IMEISHA HIYOOO[emoji23][emoji23][emoji23]
am free now!!! View attachment 1294549View attachment 1294550
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ushapata..?Nina shida na line ya Safaricom mwenye nayo anicheki Tuyajenge
Pamoja mkuu,Mkuu tuko pamoja kuelekea ktk safari ya mafanikio[emoji109][emoji109]
Wakomaliee tuu waiweke afu odds nono ivoo dah! wao kuitoa wewe haikuhusu maana ulishatia stake once it done ndo imeisha hyoo, mbona mikeka yetu wanaifyatuag ikichanika with no excuseWakuu naomba msaada nahisi labda kuna mtu amewahii kutana na tatizo kama langu na vip ali solve.. nimebeti parimatch ila timu moja ya italy,nashangaa parimatch hawajaijumlishia odds zake na kunilipa pungufu na vile nimebet , timu imeshinda.. ila nmewasiliana nao wanasema kwamba hiyo mechi walitoa kwenye system yao.. hapo ndo nitulie tu au nafanyaje wajuzi wa mambo, msaada kidogo , kimawazo
View attachment 1294557View attachment 1294561
Pole sana....wamekufanyia uhuniWakuu naomba msaada nahisi labda kuna mtu amewahii kutana na tatizo kama langu na vip ali solve.. nimebeti parimatch ila timu moja ya italy,nashangaa parimatch hawajaijumlishia odds zake na kunilipa pungufu na vile nimebet , timu imeshinda.. ila nmewasiliana nao wanasema kwamba hiyo mechi walitoa kwenye system yao.. hapo ndo nitulie tu au nafanyaje wajuzi wa mambo, msaada kidogo , kimawazo
View attachment 1294557View attachment 1294561
Achana na matapeli hao, betpawa.co.tz ndio mpango mzimaWakuu naomba msaada nahisi labda kuna mtu amewahii kutana na tatizo kama langu na vip ali solve.. nimebeti parimatch ila timu moja ya italy,nashangaa parimatch hawajaijumlishia odds zake na kunilipa pungufu na vile nimebet , timu imeshinda.. ila nmewasiliana nao wanasema kwamba hiyo mechi walitoa kwenye system yao.. hapo ndo nitulie tu au nafanyaje wajuzi wa mambo, msaada kidogo , kimawazo
View attachment 1294557View attachment 1294561
Mambo magumu line imepigwa pin hafu kila nikigusa imo ....ss hv ishakuwa 22k yahn imeshikiliwa
Sent using Jamii Forums mobile app