Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Mkuu hebu nipe kanuni yako unatembea na odd ya ngapi ktk safari yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah!![emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu nipe kanuni yako unatembea na odd ya ngapi ktk safari yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah!![emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Under 2 odds kukiwa na bad weather,, zikizd 2.50 in case kuna good matches za uhakika zaidi ya hapo ni tamaa mbele majuto nyumaMkuu hebu nipe kanuni yako unatembea na odd ya ngapi ktk safari yako
Bet pawa ndo matatizo matupu kila wakiliwa wanakwambia selcom inasumbua pesa hupat kwa wakat
View attachment 1293964 Aya Mwenye elfu 5k yake 10k 100k yake nk mizigo ndio uwo chini
Your focus ni ku tengeneza angalau sh ngapi kwa siku na kwa mtaji wa shingapi nataka nianze hii maramojaUnder 2 odds kukiwa na bad weather,, zikizd 2.50 in case kuna good matches za uhakika zaidi ya hapo ni tamaa mbele majuto nyuma
Uwezo wangu unaishiaga hapo mkuu.
Ila kusuka treni nimefnya sanaa na inatusua tattz too much match,too much risk
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo napambana mkuu
Mkuu hatuwezi kupata kizee kama hiki kinachopika ili tuachane na kubeti?
😀😀😀😀😀
View attachment 1294670
Dah noumeer sanaWakamariaa wenzangu leo kwa mara ya kwanza namshukuru kanji ..amesababishaa niokoe baadhi ya mali zanguu..iko.hivi leo isiku kam saa 8 hv..nlishtukaa tokeaa usingizin maana nlitaka kubet NBA basketball...asaa wakat nasukaa mkekaa nkaskiaa kishindo njee..kumbee kunaa vijana wezi walikuaa wanatakaa kuibaa bhnaa..kwendaa kuchek sebulen nakut kuna mwana kaingizaa mkono na tochi anataka kuvutaa Tv..daah nlimpigiaa yowee hadi akakimbiaa..nisingekuaa mkamariaa leo najua nngeamkaa nmeibiwaa..ila Namshukuru zaidi Mungu maana hat hyo bet nmekulaa ko ni win win..hahaha..kdogo nimeonaa nishare
Sent using Jamii Forums mobile app
Our prayer for greenBet Small, Win BIG | Online Sports Betting | betPawa
www.betpawa.co.tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii pesa mkuu niilifanyia editing but dah lazio kidogo aharibu mambo. Barikiwa sana mkuu
True said mkuu👏Under 2 odds kukiwa na bad weather,, zikizd 2.50 in case kuna good matches za uhakika zaidi ya hapo ni tamaa mbele majuto nyuma
Uwezo wangu unaishiaga hapo mkuu.
Ila kusuka treni nimefnya sanaa na inatusua tattz too much match,too much risk
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki PMNipo Geita nahitaki laini ya safaricom kampuni za kibongo shida tupu
Sent using Jamii Forums mobile app