skate-board
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 490
- 581
Aaah ***** hii si watoto wa academy hawaKikosi kazi cha Liverpool kwa leo
Kazi kwenu wakamalia
Mi nishawapa Aston vila 1xView attachment 1295029
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah ***** hii si watoto wa academy hawaKikosi kazi cha Liverpool kwa leo
Kazi kwenu wakamalia
Mi nishawapa Aston vila 1xView attachment 1295029
Nimekupata mkuuhakuna mabadiliko yoyte safaricom inapatikana siku zote bongo roaming partener wake n vodacom
Hahaha...zinamwagwa wapi nami nikaziokote mkuu?
Nina laini ya Safaricom...niliipata Kenya lakini kwa Bongo sikufahamu kama naweza itumia pia...thanx kwa kunijuza mkuuhakuna mabadiliko yoyte safaricom inapatikana siku zote bongo roaming partener wake n vodacom
hii naishukua kama ilivyoFIFA Club World Cup
Flamengo - AL Hilal
Home Win 1.40
Premier League
Bala Town - Penybont
Home Win 1.35
Oman Professional League
Dhofar - Mirbat
Home Win 1.19
Premier League
Pyramids - El Gouna
Home Win 1.45
Bundesliga
Borussia Dortmund - Leipzig
Both teams to score 1.38
Bundesliga
Augsburg - Fortuna Dusseldorf
Over(2.5)1.62
Bundesliga
Werder Bremen - Mainz
Over(2.5)1.40
Odds 10.21
Kamkakati haka huwa katamu kweli kinadharia
Ukiingia field sasa....
mkuu toka jana namfikilia liverpool najua atotaka kikosi kiwe majeruhi ila tunapo muawa na yeye anataka kukusanya makombe msimu huu!ila nitakufa na chama langu sitoamini maneno mbofumbofu