Mr HEISENBERG
Senior Member
- Sep 6, 2017
- 149
- 133
Hivi wewe ni basiasi umechange ID?**[emoji1628]
*Z3JHH6BB* *4pm*
Enppi Club - Al Masry Club
2 or Ov(2.5)
Mons Calpe - Europa
12 & Over(2.5)
Stake: ₦ 5,000.00
*2.09odds*
*
The same person for long time.
Mkuu ungeirudishia hiyo yote ili upate kubwa zaidi. HahaaaaNimezungusha gurudumu mida hii kama dk 5 hiv zimepita nimekula hapo 19K faida, inanitosha napita hivi..naenda kwa wakala anipe changu.Heri nusu shari kuliko shari kamili
Mkuu ungeirudishia hiyo yote ili upate kubwa zaidi. Hahaaaa
Brother hapana mana ndani ya sekunde 30 inaeza rudi yote!Mkuu ungeirudishia hiyo yote ili upate kubwa zaidi. Hahaaaa
Hahahhah Safi sana mkuu, hata mimi ndo michezo yangu hiyo.. kwa siku naweza piga hadi 28k.....kwa style hiyo kanji hawezi kichomoa.... Kila siku lazima umuokoteNimezungusha gurudumu mida hii kama dk 5 hiv zimepita nimekula hapo 19K faida, inanitosha napita hivi..naenda kwa wakala anipe changu.
Heri nusu shari kuliko shari kamili
😀😀 lile gurudumu ni hatari...mi ikiongezeka hela tu kdg naondoka huko, sitaki kesi...inasafisha account dk 1
Kabsa Bro..mi ikiongezeka tu kdg, hofu inaanza kunijia kua atakua ananilia timing.Hahahhah Safi sana mkuu, hata mimi ndo michezo yangu hiyo.. kwa siku naweza piga hadi 28k.....kwa style hiyo kanji hawezi kichomoa.... Kila siku lazima umuokote
Mbona mzigo uliwekwa tangu ana odds 9.45Kwahiyo liverpool leo tunamuangalia tu bila kuweka hela au inakuaje[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaa mkuu umezungusha kiuoga uoga hutaki ya Sungusungu yakukuteNimezungusha gurudumu mida hii kama dk 5 hiv zimepita nimekula hapo 19K faida, inanitosha napita hivi..naenda kwa wakala anipe changu.
Heri nusu shari kuliko shari kamili
Kabsa Mkuu...kinachonigharimu ni uwoga ila tahadhar ni muhimu mana si lizuri, unaeza endelea zikarudi zote!
Kumuangalia tu itakuwa ni uzembe inabidi tufanye kama yale ya Barcelona.Kwahiyo liverpool leo tunamuangalia tu bila kuweka hela au inakuaje[emoji2]undefinedSent using Jamii Forums mobile app
Ninayo laini ya safaricom ila nipo mwanzaa
Bei nakuuzia kwa 25000/= sipunguzi wala siongezi nichek kama upo serious imesajiliwa kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani unakuta mtu kaingiza mkono unampigia yowe hivi wanaume wa DAR mnafeli wapi?Wakamariaa wenzangu leo kwa mara ya kwanza namshukuru kanji ..amesababishaa niokoe baadhi ya mali zanguu..iko.hivi leo isiku kam saa 8 hv..nlishtukaa tokeaa usingizin maana nlitaka kubet NBA basketball...asaa wakat nasukaa mkekaa nkaskiaa kishindo njee..kumbee kunaa vijana wezi walikuaa wanatakaa kuibaa bhnaa..kwendaa kuchek sebulen nakut kuna mwana kaingizaa mkono na tochi anataka kuvutaa Tv..daah nlimpigiaa yowee hadi akakimbiaa..nisingekuaa mkamariaa leo najua nngeamkaa nmeibiwaa..ila Namshukuru zaidi Mungu maana hat hyo bet nmekulaa ko ni win win..hahaha..kdogo nimeonaa nishare
Sent using Jamii Forums mobile app