Kikinga
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,098
- 2,002
acha kabisa mkuu hapa nimevurugwa vibaya sanaMkuu umepishana na gari la mshahara. Goma lishatema. AISEEEEE.
OFFICIAL START,
JOURNEY TO THE MAGICAL OF JGB 2020
Baada ya kupiga research 15days na kuloose 1 [emoji848]skuwa na sabab yakuendelea
Now Am starts my daily earning,
Nimeanza na Elfu 20,000 per day
Monthly inakuja Laki, 600,000
Mshahara mzurii tu najilipa[emoji23][emoji23]
Baada ya hapo, dau linapanda,
Day 1. Bet Won
Profit: Elfu 20,348
Days,remain 29
[emoji855]IMEISHA HIYOOO[emoji23][emoji23][emoji23]
am free now!!! View attachment 1294549View attachment 1294550
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uhuni kabisa mkuuPole sana....wamekufanyia uhuni
Ngoja nikomae nao aisee, hakuna namnaWakomaliee tuu waiweke afu odds nono ivoo dah! wao kuitoa wewe haikuhusu maana ulishatia stake once it done ndo imeisha hyoo, mbona mikeka yetu wanaifyatuag ikichanika with no excuse
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakamariaa wenzangu leo kwa mara ya kwanza namshukuru kanji ..amesababishaa niokoe baadhi ya mali zanguu..iko.hivi leo isiku kam saa 8 hv..nlishtukaa tokeaa usingizin maana nlitaka kubet NBA basketball...asaa wakat nasukaa mkekaa nkaskiaa kishindo njee..kumbee kunaa vijana wezi walikuaa wanatakaa kuibaa bhnaa..kwendaa kuchek sebulen nakut kuna mwana kaingizaa mkono na tochi anataka kuvutaa Tv..daah nlimpigiaa yowee hadi akakimbiaa..nisingekuaa mkamariaa leo najua nngeamkaa nmeibiwaa..ila Namshukuru zaidi Mungu maana hat hyo bet nmekulaa ko ni win win..hahaha..kdogo nimeonaa nishare
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha..kweli man..nndo najilaum hapa ..cemaa wengee bayaa man..ilikua giza nliogopa asije akawa na bombaa akanikill..nkaonaa npigee keleelee..tu..semA tuwe makin..mvuaa hizi vibaka na wez wanazitumiaa sanaa yanha ha H ume tisher mkuu ndo uzuri wa kua na kazi mbili ulali usiku uyo kijana wakat ame ingiza mkono unge chukua mmbisu au msumeno unge ukatilia mbali kwanza kabla huja piga kelele
Sent using Jamii Forums mobile app
daah polee jamaaa..Miami heat kapasukaaKweli nimeamini demu unayemuamini ndio anakuletea ukimwi,nimeacha gg za kina palace na lazio nimeangukia kwa Miami heat,100k taslimu imepepea kwenye kipindi hiki cha sikukuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hatuwezi kupata kizee kama hiki kinachopika ili tuachane na kubeti?
PLAY SINGLR MAXB DRWView attachment 1293975View attachment 1293976
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah!![emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu hatuwezi kupata kizee kama hiki kinachopika ili tuachane na kubeti?
😀😀😀😀😀
View attachment 1294670
Na mm nina shida nayo mkuu ukipata nitag na mm