Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,472
Na mm nina shida nayo mkuu ukipata nitag na mmNipo Geita nahitaki laini ya safaricom kampuni za kibongo shida tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Mkuu,sema kuna mishe zinaingiliana ila tunapopata wasaa hatuachi kuchungulia.Sikuizi umepotea anga hizi why mkubwa?undefinedSent using Jamii Forums mobile app
nimechelewa kuona comment yako,nimeitupa 100k kwenye nba sijui kama usingizi utakuja vizuri aseeweka Mkuu
Kweli mkuu maana huo ushatiki....kuna jamaa waliomba oddsHiki kitabia so kizuri kuna watu wanapita na
mikeka kmya kimya hata ikitick "no feedback" [emoji23] mkuu washapita nao huo ila tuwe waungwan tuu ukitemblea nyota better to say,
Sent using Jamii Forums mobile app
BOOOOOOOMKutokana na uchache wa mechi za basket leo
DAY ONE >> ODDS 1.91View attachment 1294224
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitisha mkuu👏👏Uhakika 100% ukiweka nikumbuke hata ya sodaView attachment 1294416
Sent using Jamii Forums mobile app
porto anaongoza 2Hahaha "Kanji" yupo wapi jamani anipe matokeo ya kinachojiri kwa sasa huko "Estadio do Dragao" Portugal/Ureno kuhusu FC Porto...maana ndiyo tukio pekee ninalo lisubiri kwa sasa 😛😛View attachment 1294534