Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana nlijarib nlikula sana mpka nikafikisha 30k zikapukutika mpka 7k. Nmempa livapl kesho ashinde.....lkn nmeweza kuuelewa kdogoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Gurudumu ni mchezo hatari sana kwa pochi ya mtu na wakati huo huo pochi inaeza kua ni afya ya pochi.
Uwe na limit, mfn ukifiksha 25K faida, unachomoa fasta, hadi siku ingn..25K kwa siku ni nying Braza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…