Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Elimu nzuri na isiyosahaulika ni ile unayojifunza wewe mwenyewe.

La msingi: nunua hizo fixed tips hlf upate mrejesho. Nachokiamini ni kua baada ya wewe kupata mrejesho, basi utakua Mwalimu kwa wengi. Mana tumeshasema kua kununua tips ni uhuni tu unafanyika ila huelew, sasa nunua ujifunze baada ya kununua.

Usichoshe watu, watu tunamuwaza madrid na juve huku!
 
Anauza bei gani
 
VIP FIXED MATCH INFO:

★ IRAN- LEAGUE

★ JANOOB JAM - PAYKAN

★ [ 𝑻𝒀𝑷𝑬 ] - [ X HT ] 2.00

★ [ 𝑻𝒀𝑷𝑬 ] - [ 0-0 CS HT ] 3.00

★#VIP💋❤️ #𝑩𝑬𝑻𝑺
 
Mkuu sikushauri, hao ni matapeli narudia tena hao ni matapeli. Fixed match hazipatikani kirahis kama unavofikiri...
 
Ni mtandao wa mafias hawa manyang'au ndo wanadili na hizo mambo, wao wanadili na kufix matokeo ligi ndogo mfano ligi ya pili ya german 3rd league na zile ligi za watoto mfano under 23, na si rahisi kuingia ktk inner circle yao... Hawa jamaa huwezi kuwakuta FB wala telegram wanajitangaza eti wanauuza fixed match... labda mtu akupe mchongo namna gani unawapata... sana sana wapo huko darkweb... na uwezi kuta wanauza fixed match kwa 30$...... sahau hiyo kitu.......
 
mimi nauza fixed match

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…