Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mamaee leo mhindi anafunga duka mapema...Iran tayari kimeshawaka huko....bado tunasubiri Israel,Misri naTunisia msiba usafirishwe😜
 
Niliwahi bahatisha 3times darkweb ila hawa wa insta na telegram wahuni tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasu kwasu wanaweza kudraw hii game na Mbeya city?
 

Ukweli mchungu ni hivi kweli fixed match zipo na zina-trend lakini kuzipata kwake ni shughuli kwahiyo bora uendelee kujifariji ya kwamba hazipo ili maisha yaendelee.....anayebisha kuhusu hilo mkumbushe matokeo ya Real Madrid last week end?...kama akiendelea kubisha muulize vipi kuhusu yale matokeo ya Man U na pia Juve?akiendelea kubisha muache kwani wahenga walisema sikio la kufa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…