1q over 50Wazee wa tips za NBA tupeni bashiri zenu basi hapa naona game inakarbia kuanza.
Denver Nuggets Vs New Orleans Pelicans
Sent using Jamii Forums mobile app
PM Bet [emoji459] [emoji91][emoji91][emoji91] Wamenivutia kwa betting options lukuki na wanaweza match kibao sana.
Odds 4+
Mkeka wa Majaribio
MSAADA: Hapo CANCEL BET wanamaana ndiyo CASH OUT?
View attachment 1303321
Sent from my iPhone using JamiiForums
cancel bet ni kwamba una weza ukawa ume fanya selection kisha ukaona huu mkeka hutoboi bas una sitisha una anza upya
mfano uliweka awali team 1 ushindi ukiona direct win ngumu kutoka una sitisha mkeka wana ufuta stake ina rudi una anza kubet upya mkeka wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Won1q over 50
Odd 2+
Nawapata kwa hizi option zao..nili-review kwa muda kuona wakoje.
Wako vizuri!
Nimeona kuna gawio limetolewa nahic kwa wateja ila wa uk sijui.cna hakika!
Ila bet365 wako safi
Hii iko poa sana. Stake inarudi kama ulivyoweka?
Sent from my iPhone using JamiiForums
LAL kanikera sana fala huyo