Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

izo ni ishu za mikataba na makampuni husika either wao wawalipie wateja wao deposit charges ama wasilipe

Playmaster wakati ana anza online ilkua pia kudeposit n bure kwa tigo baada ya muda wakaanza makato

hivo hata hao betpawa itafika wakati napo ukiwa una deposit kupitia mtandao kutakua na charges uko mbeleni
Betpawa kuweka hela hakuna makato mkuu tofaut na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Betpawa hawakati kwa sababu wanatumia masterpass
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama sportpesa wanakata sana yan buku 2 150 kanji hatupge na wao watuumize aisee mi ntakomaa n betpawa

Sent using Jamii Forums mobile app
raha ya sportpesa ni kwenye kutoa hela tu wako faster ni hilo tu ila wanapiga sana wakamaria halaf mara nyingi wana odds ndogo compare na wengine, vilevile option zao za kucheza mara nyingi wanabania wakamaria
 
sasa masterpass ndo hawakati hela mzee?? transaction yoyte unayo fanya kupitia mtandao wa simu lazima mtandao uchukue chao ndo linakuja suala la makubaliano kwamba kampuni itawalipia wateja gharama za malipo ama wateja wakifanya malipo watajilipia wenyewe gharama za mhamala
Betpawa hawakati kwa sababu wanatumia masterpass

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…