Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Leo nimebadili upepo. Nimetoka hivi
Hivi hii "over" unaiweka vipi? na matokeo yake ndio huwaje?
n cku nyingne tena wadau nngependa kupata ufafanuzi kutoka kwenu wadau kuhusiana na ligi na option znazotoa kwa sana
je n option gan n nzuri kati ya hz lig
premier league n nzur kwa option gn
bundasliga
serie A
la liga
france
nakadhalika
mchango wenu tafadhali
France na portigal sana sana huwa zinatoa under ........... poland huwa inatoa GG.
Over na under. Ni kwamba ikiwa over, maanake magoli yawe zaidi ya 2.5. Au tuseme magoli ma3 na kuendelea. Bila kujali nani atashinda. Na ikiwa under magoli ya jumla yasizidi ma2. Bila kujali nani kashinda.
Hii option, ipo. Zipo nyingi, kuna
Normal
Handcap
45 minutes
Both team will score
Over & under
Multiple bet
Hizi kinapatikana kwa m-bet
Leo nimebadili upepo. Nimetoka hivi
Hapo monaco wanatoa under...
NiKupe namba uni add
Jamani wadau liverpool vp nimuweke au nimpotezee?maana nataka nimpe ushindi wa mojakwamoja.ushauri pls
Leo minaenda hivi
Inawezekana. Lakini ukiangalia forward za timu zote mbili zinafunga sana. Hii mechi goal 3 zipo.