Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IN THIS I TRUST

juventus. win 2.2
psg. win 1.5
schalke win 1.57
galatasaray win 1.62
benfica win 1.14
 
Kama kubeti kwa mazoea kupigwa kupo tu lakini ukilenga kuwini hiyo ndiyo njia mbadala
 
Kama kubeti kwa mazoea kupigwa kupo tu lakini ukilenga kuwini hiyo ndiyo njia mbadala

unataka kufanya bet ndani ya betting..... utaumia, hii kitu ni kweli ipo but huwezi kupata mtu kama wewe..... kama ni kweli kwanini asikope ata million tano akaweka ili apige pesa ndefu...? anajua sio kweli ndo maana anauza.
 
Hapo vp wadau,
 

Attachments

  • 1449229327827.jpg
    22.9 KB · Views: 339
Hizo timu za Germany ndio zinanipa wasiwasi hasa hao fc tsv 1860 munich nahisi kama wanatoa sare.
 
Ligi ya urusi leo imekaa kimtego mtego... Ngoja nitest zali kwa dinamo moscow na locomotive odds 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…