sasa mbona nikipiga ok haisubmit inarudi tu pale pale
Hadi urudi mwanzo na kurekebisha hizo ambazo zimebadirika ndio u submit upya
Unamaanisha kuziplace au kuziselect upya? Maana timu nazovhagua zinacheza sakumi na mbili ingekua zimeanza kucheza hapo sawa
Jamani huyo jamaa mwekundu mmemsahau?IN THIS I TRUST
arsenal win 1.24
real madrid win. 1.10
M'GLADBACH vs. bayern munich win 1.33
ajax win 1.29
fc porto win 1.18
barcelona win 1.29
Unamaanisha kuziplace au kuziselect upya? Maana timu nazovhagua zinacheza sakumi na mbili ingekua zimeanza kucheza hapo sawa
Leo hapa
Panakuaga na kiboksi chini kimeandikwa accept all changes, wakikwambia some quotas has been modified. Unatakiwa u-accept changes ndo usubmit.
Angalia kwenye picha.
kila la kheri
Jamani huyo jamaa mwekundu mmemsahau?
Man City ameshaanza kuharibu hali ya hewa huku.
Ndio kwanza dk ya 12