Ndivyo niliyo ota ndoto yakweli
golden state warriors havuki 112 kwelii naona odds 1.9
Jaman nikitaka kudowload mkeka kwa meridian nafanyaje maana hawa jamaa nimebeti mimeshinda alaf hawatuma mpunga
Duuu nimeingia kwa account yangu but cjaona optoin ya nensa tickets au nimebugh mkuu?
Jukwaa linaharibiwa na minamba ya Whatsap.
Ningekuwa na uwezo unayapiga BAN za kutosha.
Ladha ya kupita hapa imepotea kabisa. Sio dhambi kutengeneza group za Whatsap, but minamba yenu msiiweke hovyohovyo hapa. Ingia inbox kisha tupia Huko minamba yako.
Nasikitika sana tabia za Kifesibuku zimevamia jukwaa letu bora...
Imenibidi kusema.
Zenit win or draw,bayern cap,Din kiev cap,barca win,roma cap
huyu roma yawezekana leo ndo akawa mbuzi wa kafara watu wamemuani sana.
Noma na iwe , ila arsenal nimeipa kwa mapenzi yang binafsi odds 10
aisee ukibet kwa kwa mahaba unakuwa huangalii hali halisi ..jana nimempa man u uku nikijuwa kabisa hawezi shinda ila kwa mahabaa tu nikampa !... Alichonifanya daaah