corners ynder kwa barca naona kma inatoa wale majamaa kwa possession sioni corners nyng sana
Iyo option ya noredcard ipo kampuni gan mkuu
Jamani eeeh geukieni na option ya no redcard japo ina odds ndogo ila hizo hizo tunatumia kumkimbiza mhundi kimya kimya. Msikariri njia moja tu ya final score
mkuu hii option ya coner natakaga kuicheza ila cjuagi under ni corner ngapi, over ni corner ngapi?! pia yellow card over na under, over ni ngap na under ni ngapi?! ..............[/QUOTE
kuna kiqango wnaweka wao wew ni kuxhagua itakua over/under..mfano utakuta wameweka h 5 kwsnye corners so utachagua wew unaonaje nahisi nmeeleweka
Mkuu mboba hio option siion?
Inawekwa siku za mwisho wa wiki kwenye ligi ya England na pia UEFA
huyu roma yawezekana leo ndo akawa mbuzi wa kafara watu wamemuani sana.
Jamani eeeh geukieni na option ya no redcard japo ina odds ndogo ila hizo hizo tunatumia kumkimbiza mhundi kimya kimya. Msikariri njia moja tu ya final score
Plus lig za france na italy bila kuwasahahu bundersligaaa
oi wekeni team za leo za ushindi(uefa ueropa cup).
fata iyo
Mechi nyin za Europa mechi zilizopita zilitoa sana 0-3 leo ngoja nijarib tena