Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

tigo hawana ubia na meridian mkuu. Only voda.
Labda kama imeanza karibuni.
170066 ni meridian kwa wanaotumia voda

safi sana mdau, ila naomba kujuzwa namna m-bet wanalipa wateja wao wanaobet online. Mimi nilitumia m-pesa kulipia tiketi, tiketi imeshinda lakini sioni waniingizie kwenye account yangu ya m-pesa! Au ofisi zao ziko wapi niwaibukie?
 
Inategemea, kama ulilipia direct kwa M-PESA utalipwa kupitia M-PESA ila kama uliweka ktk acc ya m bet watatuma kwa account ya mbet
 
dah sasa hivi unasherehekea mpunga safi sana
kila siku nikibet naliwa
 
dah sasa hivi unasherehekea mpunga safi sana
kila siku nikibet naliwa

Jukwa hili ndo kila kitu maana tutapashana mechi zote,hata leo pesa ipo tu,lakini linazidi kukonda kutokana na wajanja wote kukumbwa na mafuriko ya magroup ya whatsapp
 
m bet leo haiko vzuri au ni kwangu tuu imegom kufunguk muda huu
 
Jukwa hili ndo kila kitu maana tutapashana mechi zote,hata leo pesa ipo tu,lakini linazidi kukonda kutokana na wajanja wote kukumbwa na mafuriko ya magroup ya whatsapp

mkuu hebu tupia na leo nikufuate:thumbup:
 
Derby
Ipswich
Brighton&Hove albion.
TIA HELA HAPO

Cc mbavu mbili, mr man city........na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…