Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ngoja niwalipue game za kesho kama ifuatavyo
 

Attachments

  • 1450440551989.jpg
    41.2 KB · Views: 281
duh!!!!!
 

Attachments

  • 1450453469232.jpg
    35.6 KB · Views: 385
jamaa watabadilisha tu we ngoja ifike kesho asubuh watatoa tangazo hiyo game itakua odds 1.0 ..... Ishatokea mwaka jana kitu kama hicho

Juzi yenyewe walijichanganya wakaweka game ambayo imeshachezwa na kutoka bila bila ya ureno nikatia pesa baada ya saa wakarudisha pesa na kusema kulikua na makosa
 
Bet lost
 

Attachments

  • 1450472427522.jpg
    17.1 KB · Views: 306
asante kanji kwa kuicancell go ahedi hamsin yangu imepon maana pamoja na point 8 zake kapigwaaa #@@@
 
hatimaye wamenilipa hako kahela kamcancel union berlin pia
 

Attachments

  • 1450496443082.jpg
    40.8 KB · Views: 304
Uwoga wa mhindi wampishanisha na container la shekeli, Hahahaaaah, go ahead eagles bhana!
 
Kama kuna watu wapo tayari kununua tuwasiliane ili tufanye mchango my whatsapp no.+255657140900
 
Hii ni ticket ambayo ipo sokoni baada ya kuisha mechi ipo nyingine
 

Attachments

  • 1450503669255.jpg
    26.3 KB · Views: 294
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…