Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Hata mm nina tatizo hilo mpaka sas mkeka unasomeka paid
 
Mm wamenilipa sa iv mkuu ila dah!
Timu 8 nliweka zikatoa 132000
Wakakata kodi ikabaki sh 108000
Nimepigiwa mahesabu wamenitumia 15735 :banghead::banghead::banghead: sio haki kabisa kudadeki
 
Wakuu nifundisheni kubet asee, nataka kuwa member

Mkuu hii biashara ina changamoto zake utaiweza lakini? Unakifua mkuu mana unapiga miez umemla kanji asilimia 40 yeye kakukunguta 60😀😀
 
Kuna watu wanaitwa scammer wana nunua odds kwa bei kubwa hadi euro 5000 kisha anauza leja leja

Acha kudanganya watu ww game fixing hairuhusiwi kwa wanaofuatilia mpira watakumbuka ishu ya juventus ilivyashushwa daraja kisa kupanga matokeo afu we kirahisi rahisi tu uje utuambie game fixing tena hadharani ivi c wangekamatwa wote....jamani msidanganyike mtalia nakusaga meno huyu ni tapeli hili jukwaa linawadau wengi sana kama watu 200tu wakimtumia jamaa elfu 5/5 anapiga mtonyo wa maana na hamtamuona tena.
 
Jukwaa limeingiliwa na dhima potofu na ya kitapeli, dhumuni halisi la kuanzisha hii thread ilikuwa ni kudiscuss mikeka. Hizo habali za kununua odds eti fixed games tutalizwa. Lets tuendelee kuganga kibishi kuliko kutapeliwa
 
Mkuu nimekuzika!

Aisee ntakutafuta kabla ya sikukuu hapa.

Biashara hii imekuwa kichaa.

Odds haziuzwi, ngoja watu wapigwe tu.

Mkongwe..... Nyatu nyatu....kimyakimya unafukuza mtonyo..... Changia odds mjomba... Mjomba apate mtaji..... Anabet akili Wa wanajukwaa....
 
Wazee wa basket leo nawatupia kitu hiki, hizi odd ni almost probable.

Ikibidi kakope, ukiliwa ntakulipia.

 

Attachments

  • Best Odds.png
    3.1 KB · Views: 937
Mkongwe..... Nyatu nyatu....kimyakimya unafukuza mtonyo..... Changia odds mjomba... Mjomba apate mtaji..... Anabet akili Wa wanajukwaa....

Ha ha ha, anatafuta mtaji kwa kuuza odd!

NBA nayo under/over haisomeki, nataka nitoke na odd chache chache maana winning teams zimeshaanza kujulikana now, kuna mkeka nimetupia hapo juu wasiwasi ni game ya Indiana tu.

GSW nilitaka kuwaweka lakini odd yao ni 1.08 ndogo sana, na ukiwapa first half wanaweza kuzingua maana jamaa wanashinda sana second half.

cc Steph Curry
 
Last edited by a moderator:


Mafuta taratibu yameanza kujitenga na maji... Hapo katikati NBA wamenipigisha sana kwenye Over/Under..

Nikaingia benchi kidogo kusoma upepo.. Naona sasa elites club zimeanza kufanya vyema.. Na naona sasa timu za Over tumeshazijua na za Under pia.. Nitaanza kushiriki nanyi kwa mara nyingine..
 
Wazee wa basket leo nawatupia kitu hiki, hizi odd ni almost probable.

Ikibidi kakope, ukiliwa ntakulipia.



Teh teh teh teh unaweza kushangaa Sixers wanafufukia tena kwa hao Bucks...

All in All good bet to tip your Money...
 
Mbavu mbili&Raimundo hebu ongea neno kwenye mechi ya Bari vs Brescia
Hata kidog
 
Mbavu mbili&Raimundo hebu ongea neno kwenye mechi ya Bari vs Brescia
Hata kidog
Mkuu
Bari yuko nafasu ya 4 na Brescia yupo nafasi ya.
Kirekodi& kiuzoefu Bari anapewa nafasi ya kushinda. Faida ya uwanja wa nyumbani pia itakuwa chagizo kwao.
Hivi@Matee hajaweka mkeka leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…