Mkuu
Bari yuko nafasu ya 4 na Brescia yupo nafasi ya.
Kirekodi& kiuzoefu Bari anapewa nafasi ya kushinda. Faida ya uwanja wa nyumbani pia itakuwa chagizo kwao.
Hivi@Matee hajaweka mkeka leo?
Matee hicho kitimu cha misri hovyo kabisa mechi imeisha kimepigwa mbili bila na vipoint vyake vya ajabu😕
sure kabisa
Dah hapa ni mpango wa kusuka mkeka wa team 3 tuu za kuridisha hela
Dah hapa ni mpango wa kusuka mkeka wa team 3 tuu za kuridisha hela
Spezia
Pescara
Livorno....
Hizo hapo mbaba.....
Asante Mungu.... Nikepata mtoto Wa kiume Leo mchana..... Asante Mungu
nishasign up tayari
Pembeni ya mechi kuna 93+
Safi sana naona uwanja ni mpana zaidi
nishasign up tayari