Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hahahah baharia kweli ipo hiyo ya kupiga nae picha kanjibah?

Mi mwenyewe nasikia tuu lakini sina uhakika, niliambiwa ukishapiga nae picha wanakuweka kwenye Magazine yao..

Leo nataka mpunga mrefu ngoja niweke hela

Ndugu funga biashara kwa leo tu angalau kubali kiroho safi, kesho asubuhi na mapema amka nae kwa hasira zote... sababu saa hizi mechi nzuri zimeisha tayari...
 
j League ndo wapuuzi kabisa yaani ni zero kabisa
 
jamani nielekezeni kwa vodacom unabeti vipi. Na mimi niweke mzigo ,kuna vihela kwenye mpesa vipo vingi vinaniwasha .Maanake nasikia kuna makampuni matatu. Da nimechelewa sana jamani, mpaka leo si ningekuwa kama biligates
 
Ndugu kama kuwa Billgates ni rahisi hivyo usingetukuta humu.. Jaribu kufuatilia comments zilizopita kwenye hii thread kila kitu kipo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…