HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
hahaha watu tushafanya yetu kwa psg,spurz,gunerz.. Mbona nilitandaza mapema leo
Nilipuuza ila imeniuma bora ningeweka kama hlivyo sema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha watu tushafanya yetu kwa psg,spurz,gunerz.. Mbona nilitandaza mapema leo
hahahah baharia kweli ipo hiyo ya kupiga nae picha kanjibah?
Leo nataka mpunga mrefu ngoja niweke hela
Leo naiua Tanzania. Mozambique kapewa 1.76 kwa meridian... Samahani sana jamani kwenye betting hakuna royality
Watu tumeamka na kukuta mikeka chaliiAmkeni wazee wenzangu kumekucha tayari....
Watu tumeamka na kukuta mikeka chalii
Jamani leo mnaweka wapi? hebu tusaidieni na sisi bahati ilale kwetu leo
mbet ndo majanga kabisa hata sijawahi shinda zaidi ni kushindwa hadi nimeachaKuna katimu jana Mbet kameniua,mimi nilibet kinafungwa chenyewe kikatoka sale.
jamani nielekezeni kwa vodacom unabeti vipi. Na mimi niweke mzigo ,kuna vihela kwenye mpesa vipo vingi vinaniwasha .Maanake nasikia kuna makampuni matatu. Da nimechelewa sana jamani, mpaka leo si ningekuwa kama biligates
mbet ndo majanga kabisa hata sijawahi shinda zaidi ni kushindwa hadi nimeacha
j League ndo wapuuzi kabisa yaani ni zero kabisa
Ligi ya france bure kabisa!
Kuna katimu jana Mbet kameniua,mimi nilibet kinafungwa chenyewe kikatoka sale.
Msikate tamaa wazee wenzangu ipo siku mtatusua tuu...
Inaonesha wewe unazichapa sana siku hizi. Ligi hazijatulia kabisaaaaaaaaaa
nazichapa chapa kimtindo kwa over/under...
mbet ndo majanga kabisa hata sijawahi shinda zaidi ni kushindwa hadi nimeacha
mbet ndo majanga kabisa hata sijawahi shinda zaidi ni kushindwa hadi nimeacha