Kwan unatumia kampuni gani mkuu..mm natumia m bet kwenye cm yngu haina optn nying ina option mbil yu hzo over na under na handicap sizioniiiiiGoals zisizid 2
Nakufuata mkuuGillingham(2.15)
Walsall (1.79)
B.Albion (156)
Wycombe (1.89)
Leeds (1.84)
ZOTE WIN
Nipo dilemma kumuongeza/jutomuongeza Leicester,ijapo statistics zake dhidi ya Bournemouth ziko very strong,lkn kwa uzofu mdogo nilioupata kutokana na hii biashara ni kuwa asilimia kubwa kuna timu ambayo huaminiwa sana na wengi pasipo na chembe ya shaka kuwa ushindi ni 100% lkn mwisho wa yote hugeuka kilio,mfano ni hapa juzi FC PORTO akiwa nyumbani anapigwa na MARITIMO 1:3,kitu kama hicho naweza hata kufuru kwa kusema kuwa kuna fixed matches maana timu husika huwa ipo kwenye mikeka ya mamilioni ya watu.Hivyo tuwe makini juu ya hili,mwenzenu naendelea kujifikiria.
Kwa man u utakuwa umemdhamini masai ngoje akuachie shukawakuu huu vipi?
Gillgnam win
Man utd win
Man city win
Southend win
Cardif win
Option zote ninazo kwa m bet kwa under and over 2.5 maana yake jumla ya magoli yawe 2 or less kwa under na 3 and more kwa overKwan unatumia kampuni gani mkuu..mm natumia m bet kwenye cm yngu haina optn nying ina option mbil yu hzo over na under na handicap sizioniiiii
Jumla ya magoli yasizidi 1Msaaada....ivi ikiwa under 1.5 goals.....inakuaje apo???
Gillingham(2.15)
Walsall (1.79)
B.Albion (156)
Wycombe (1.89)
Leeds (1.84)
ZOTE WIN
Mkuu Porto alipanga kikosi B pia ilikuwa ni mechi ya kirafiki. Leicester atamgunga Boutnmouth kwani walikuwa na ratiba ngumu sana.
Liver
Man city
si kitoto...
Nipo dilemma kumuongeza/jutomuongeza Leicester,ijapo statistics zake dhidi ya Bournemouth ziko very strong,lkn kwa uzofu mdogo nilioupata kutokana na hii biashara ni kuwa asilimia kubwa kuna timu ambayo huaminiwa sana na wengi pasipo na chembe ya shaka kuwa ushindi ni 100% lkn mwisho wa yote hugeuka kilio,mfano ni hapa juzi FC PORTO akiwa nyumbani anapigwa na MARITIMO 1:3,kitu kama hicho naweza hata kufuru kwa kusema kuwa kuna fixed matches maana timu husika huwa ipo kwenye mikeka ya mamilioni ya watu.Hivyo tuwe makini juu ya hili,mwenzenu naendelea kujifikiria.
Wewe umeziona? Unawekaje mkuu nikufatewazee leo kuna pesa au hamjaziona?