Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Name Mimi ngoja niuze ODDS
Goals firsthalf :-
Celtic 3+ odds 3.25
Chelsea 3+ odds 4.15
Porto 3+ odds 7.65
Benfica 3+ odds 7.65
Juventus 2+ odds 3.00
Olympiacos 3+ odds 4.65

Nb:- cheza mojamoja

NB:- Cheza mojamoja
 
kuna wadau wa kikapu humu? i mean wale wa meridianbet online ambao wangependa trial period of my premium picks ili ajiridhishe kujoin my team anze mwaka kiushindi zaidi? hata kama hujawahi kucheza kikapu nitakupa muongozo wote kikamilifu uwena account tu meridianbet.com basi mengine nitakuelekeza..
 
mimi huwanatupia kikapu online ebu tupeane mbinu
 
wale wa basketball leo tunatoka hivi
usak vs fenerbahce* total points over 156.51.86
 
nba usiku mnene tunatoka hivi
brooklyn nets vs san antonio * total points- over 193.5@odd 1.90
 
Wasalaam Hapa Jamvini!

Wakuu, ni miezi kadhaa imepita sasa Tangu nitumie account yangu ya Meridianbet....

Hivyo nimejikuta hata nimesahau Account ID inayotumika ku_Deposit fedha kwa Meridianbet.

Nifanyeje Wakuu?
Log in kwenye aconti yako utaona namba yako ya aconti au wapigie simu watakupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…