Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu nimecheki predictions zako ulizoweka hapa umepatia 1 kati ya 3.

Vipi unaweza kuendelea kuweka tukajiridhisha?
sawa mkuu ngoja nitaendelea and siyo kila siku na kuwa na picks ila sijaona responce ya wana sjui hawafwatili kikapu?
 
sawa mkuu ngoja nitaendelea and siyo kila siku na kuwa na picks ila sijaona responce ya wana sjui hawafwatili kikapu?

Mkuu mi nafuatilia picks zako, lakini umeweka 3 tu! Ya Cavs na OKC.
 
EPL yenyewe haisomeki! Kila mtu anamfunga kila mtu, mihindi lazima ale watu!
 
kumbe man city wajinga kiasi hiki! nilitamani niwapigie niwaambie wananikosesha pesa
 
1: Chicago Bulls -4 points 1st half
2Golden State Warriors -17 points full game
each cheza single bet hapo avoid multbet enjoy the play wale wakikapu
 
hebu nipe maoni kabla sijalipia
 

Attachments

  • 1452852219319.jpg
    56.4 KB · Views: 56
Bet 1
Man city win
Hull city win
Villareal win
Galatasary win
Sevilla win

Bet 2
Man city win
Hull city win
Villareal win
Galatasary win
Sevilla lose

Sasa kaka /Dada.... Hii mikeka yote miwili tofauti ni hapo kwa sevilla tuuuu.... Mfano bet 1 unaweka 5000 na bet 2 unaweka 5000 ..... Afu seville mechi ikatoa safe si utapoteza kijinga!!?? Kwa nini usiunganishe hizo pesa ukacheza mkeka mmoja tu ukamtoa kabisa sevilla!!!?? Ni ushauri tu
Villareal
Man city
Hull city
Man city
Galatasaray
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…