Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahahaha! Hamna cha ulibigeti zaidi ya kufilisika. Kwa mpesa bofya *149*19# utakuwa unachagua option unazotaka.

meridian na ladbrokers, na Iplay8casino.Zinakuwaje jamani ,unaweza kucheza ukiwa mikoan
 
meridian,ladbrokers na Iplay8casino zinachezwaje jamani

Meridian online unacheza google ''meridian online tanzania'' utapata maelezo ya ku-sign up yaani kufungua acount ya meridian.
 
Meridian online unacheza google ''meridian online tanzania'' utapata maelezo ya ku-sign up yaani kufungua acount ya meridian.

Ladbrokes nomaaaa wako vizuri mpunga fasta hapohapo
 
Wazee wenzangu tunatupa karata wapi leo au tunapumzika...?
 
Aaah wapi mie kila siku najaribu kwa 500 tu leo nimeenda kwa mhindi nimeona jamaa kaja na vimikeka viwili akakunguta kama 250,000 hivi niliangalia kwa hasira, nikacheza 500 kujaribu. Kesho napo nikajaribu
 
Mimi nimeweka sheria kwa siku sitabet zaidi ya 2000
 
Oyooooooooooo
Baada ya kulia sanaaaa jana leo nimechungulia account zangu za betting nimekuta inasoma hivi
Meridian 73,000. Niliweka 1000 tu jana usiku mkeka wa timu 4
Sportpesa kenya niliweka 200 nimepata 1870 ya kenya woooooooooow leo imekuja upande wangu asanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ngoja nikamuone mhindi kama nimemla na yeye
 
Nimeanza jilaumu kwanini sikuweka hela nyingi jana ili nile nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…