east36
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,306
- 492
Inatokeaga sana hiyo, naamini hawa wa betting cku zote hawapati hasara..Wadau,yani hi ajax imepewa point chache af imepigwa
Bado kama wiki mbili hivii hatutasubiri sana...Mi toka nipigwe mechi ya argentina na swis sina hamu tena nasubiri ligi.