Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu nimejaribu kuvizia corner naona kama nitapigwa. Wewe unaanza kuvizia kuanzia dakika ya ngapi kipindi cha kwanza au cha pili?
Ishu ya Kona inabidi uangalie mechi husika na odds nzuri ni kipindi cha kwanza,,, uwe na utulivu kufuatilia mchezo na ndani ya dk 5 utajua kama timu ipi inatumia wings za pembeni na zinakimbiza,,, zinalipa
 
Hahaaa... Mhindi anapigwaga tu... 🔥 😀😀
1613049901400.png
 
Play master wanazingua kwel jana timu moja ya Inverness vs Alloa Athletic imehairishwa ila mpaka sasa mpunga kimya na Wala hawalet kitufe cha ku cashout sijui wananitaka nn hawa jamaa ,tokea jana saa nne usiku had saiz kimya
 
Back
Top Bottom