Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

22 bet wanazingua sana walianza hawaweki kodi wakaweka,app mara wakaifunga sahiz watu yunaweka hela tubeti wao wapo kwenye maintenance...hawa hovyo kabisa sahizi naitumia kwa live betting sababu wana one click bet kama kuna mtu anaeza nisaidia website nyingine ya one click bet niwahame kabisa
 
Wahame
 
Behewa hilooooo
PSX_20210212_140241.jpg
 
Wakuu naomba mnisaidie namba ya wakala muaminifu tofauti na Etoo.. Jamaa nafikiri leo hafanyi kazi nataka kutoa ya supu
kama ulideposit kwaake ni lazima utolee kwake. ilishawahi kunitokea nilipiga mapesa mengi wakala akanambia pesa hiyo kwaa wakati huo hana, labda nijaribu kwa wakala mwingine, ssystem ikaanigomeaa kwambaa nikatoe kwa yule yule niliyeddeposit.
 
Leo siku ya 11 sasa 22bet hajaweka hela yangu kwenye acc
Majibu niendelee kuvumilia..........kulikoni

Kilo nzima wameikalia tuu
 
Leo siku ya 11 sasa 22bet hajaweka hela yangu kwenye acc
Majibu niendelee kuvumilia..........kulikoni

Kilo nzima wameikalia tuu
Wasiliana nao usikute ulikosea sehemu,,, maana wanapokea na kutoa kama kawaida
 
Nawasiliana na 22bet kwa email
Nimewatumia sms ya muamala na wakasema wanashughulikia
Kila siku nikiwauliza wananiambia kua mvumilivu
Hivi Mkuu haiwezekani kuwasiliana na service provider wa mtandao wako ulotumia kutuma pesa ili a-cancel hiyo transaction na pesa yako irudi?
 
Back
Top Bottom