Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,372
Jana mbona mi nilishinda mil 2.8 hawakuchelewesha ndani ya dk 5 mechi ilipoisha waliingizaMkuu kumbe betpawa ukiwapiga hela ndefu wanachelewesha kukuwekea pesa?
Jana mbona mi nilishinda mil 2.8 hawakuchelewesha ndani ya dk 5 mechi ilipoisha waliingizaMkuu kumbe betpawa ukiwapiga hela ndefu wanachelewesha kukuwekea pesa?
Mechi ikihairishwa inatakiwa usubil kwa masaa 24 mechi isipochezwa ndan ya masaa hayo ndo wanakuludishia pesaPlay master wanazingua kwel jana timu moja ya Inverness vs Alloa Athletic imehairishwa ila mpaka sasa mpunga kimya na Wala hawalet kitufe cha ku cashout sijui wananitaka nn hawa jamaa ,tokea jana saa nne usiku had saiz kimya
Shukran mkuuMechi ikihairishwa inatakiwa usubil kwa masaa 24 mechi isipochezwa ndan ya masaa hayo ndo wanakuludishia pesa
Sawa bossJaman tubeti live volleyball ni nzur kwa option za under toka jana nakula mtaji tu faida ikiwa pale pale
Kampuni ganiSawa boss
Wadau mambo ya kubet matches ni ngumu saa nyengine. Ila hamna kitu kizuri kama kubet esports. Ukipata source ambayo inakupa manipulated odds inakua ni raha sana kila siku ni kula tu.
Kuna jamaa huwa ana connection na esport ana channel yake telegram ya free, but odds ni chache.
Ila kuna hiyo ya kulipia vvip ndo kuna odds nyingi sema ni parefu anaanzia dollar 40 mpka 80.
Mwambie hizo odds,azigawe kwa ukoo wake wote, Kisha waende bank wakakope stake ndefu Ili wawe mabilionea. Huku hakuna ngo'mbe.Wadau mambo ya kubet matches ni ngumu saa nyengine. Ila hamna kitu kizuri kama kubet esports. Ukipata source ambayo inakupa manipulated odds inakua ni raha sana kila siku ni kula tu.
Kuna jamaa huwa ana connection na esport ana channel yake telegram ya free, but odds ni chache.
Ila kuna hiyo ya kulipia vvip ndo kuna odds nyingi sema ni parefu anaanzia dollar 40 mpka 80.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie hizo odds,azigawe kwa ukoo wake wote, Kisha waende bank wakakope stake ndefu Ili wawe mabilionea. Huku hakuna ngo'mbe.
Ishi maisha yakoMAKINIKA KIJANA, KUBETI SI AJIRA.
HongeraJana mbona mi nilishinda mil 2.8 hawakuchelewesha ndani ya dk 5 mechi ilipoisha waliingiza
Endelea kutegemea betting!Ishi maisha yako
Mimi najilipua kwa kumpa ushindi Simba. Game moja ina odds 7 Nyau anaweza kufanya maajabu.Ngoja nimpe As Vita ushindi
Mimi najilipua kwa kumpa ushindi Simba. Game moja ina odds 7 Nyau anaweza kufanya maajabu.
Wakuu naomba mnisaidie namba ya wakala muaminifu tofauti na Etoo.. Jamaa nafikiri leo hafanyi kazi nataka kutoa ya supu
Yeah kafunguaNadhani kafungua jaribu kumchek