Christopher krugger
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 216
- 395
Wahame22 bet wanazingua sana walianza hawaweki kodi wakaweka,app mara wakaifunga sahiz watu yunaweka hela tubeti wao wapo kwenye maintenance...hawa hovyo kabisa sahizi naitumia kwa live betting sababu wana one click bet kama kuna mtu anaeza nisaidia website nyingine ya one click bet niwahame kabisa
Kuna hyu jamaa anajitahidi anatoa Odds 2+ kila siku.https://t.me/joinchat/TmaUj8oQP_8eNgiBBehewa hilooooo View attachment 1700713
Yuko TelegramKuna hyu jamaa anajitahidi anatoa Odds 2+ kila siku.https://t.me/joinchat/TmaUj8oQP_8eNgiB
kama ulideposit kwaake ni lazima utolee kwake. ilishawahi kunitokea nilipiga mapesa mengi wakala akanambia pesa hiyo kwaa wakati huo hana, labda nijaribu kwa wakala mwingine, ssystem ikaanigomeaa kwambaa nikatoe kwa yule yule niliyeddeposit.Wakuu naomba mnisaidie namba ya wakala muaminifu tofauti na Etoo.. Jamaa nafikiri leo hafanyi kazi nataka kutoa ya supu
Duu uwe unashea basi mkeka bestJana mbona mi nilishinda mil 2.8 hawakuchelewesha ndani ya dk 5 mechi ilipoisha waliingiza
Hawa mikia hawawezi kosa goli,,, japo wanasema watatafuta angalau sare wakimaanisha kudifensi zaidi!Simba over 0.5
Odds 2
Weka stake
Wasiliana nao usikute ulikosea sehemu,,, maana wanapokea na kutoa kama kawaidaLeo siku ya 11 sasa 22bet hajaweka hela yangu kwenye acc
Majibu niendelee kuvumilia..........kulikoni
Kilo nzima wameikalia tuu
Ulikosea zile namba,? ongea na mlipa.Leo siku ya 11 sasa 22bet hajaweka hela yangu kwenye acc
Majibu niendelee kuvumilia..........kulikoni
Kilo nzima wameikalia tuu
Over or under????Leo natupa 50 kwa 2.5 mechi ya Simba
Ulikosea zile namba,? ongea na mlipa.
Wasiliana nao usikute ulikosea sehemu,,, maana wanapokea na kutoa kama kawaida
Hivi Mkuu haiwezekani kuwasiliana na service provider wa mtandao wako ulotumia kutuma pesa ili a-cancel hiyo transaction na pesa yako irudi?Nawasiliana na 22bet kwa email
Nimewatumia sms ya muamala na wakasema wanashughulikia
Kila siku nikiwauliza wananiambia kua mvumilivu