Gini
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 399
- 386
Si bora uache kubet, ndiyo nini sasa hiyoHakuna tonge dogo View attachment 1701332
Si bora uache kubet, ndiyo nini sasa hiyoHakuna tonge dogo View attachment 1701332
Endelea kula mtoli nyama utazikuta dakika ya 80 hukoHuyu Psg atanitoa roho
Alooo aliekula hela leo heshima yakeEndelea kula mtoli nyama utazikuta dakika ya 80 huko
Nimeufuata ila union Berlin kaharbu sherehe mapemaa direct win n hatar kwa wakamariaTembea nami ila nakuomba mtaji ata wa 2000 hutajutia.
Natembea na odds chini ya 10 tu za direct wins stake above 2000/=
1 Barcelona win
2 Ac Milan win
3 Ajax win
4 Union Berlin win
5 Lyon win
6 Man city win/draw
Total odds 6.
Very sorry mkuu. Kesho ntakupitishia multiplesNimeufuata ila union Berlin kaharbu sherehe mapemaa direct win n hatar kwa wakamaria
Milan katuua wengi leoTembea nami ila nakuomba mtaji ata wa 2000 hutajutia.
Natembea na odds chini ya 10 tu za direct wins stake above 2000/=
1 Barcelona win
2 Ac Milan win
3 Ajax win
4 Union Berlin win
5 Lyon win
6 Man city win/draw
Total odds 6.
Siamini macho yangu, ety mpk now yupo nyuma goli mbili duuuMilan katuua wengi leo
Unaamka usiku kuchungulia mkeka unakuta not won alafu ni esimilani🤣🤣🤣
Jumamosi /jumapil sio siku nzur za kubeti maimu makubwa huchana sana mikekaJuventus bana
Unaamka usiku kuchungulia mkeka unakuta not won alafu ni esimilani🤣🤣🤣
[/QUOT😂😂😂
Knazingua aiseeUnaamka usiku kuchungulia mkeka unakuta not won alafu ni esimilani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wadau kuna apps nzuri wanajitahidi kutoa predictions nzuri
NaulizaUnauliza swali au unatuhabarisha mkuu?