Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ishi Humu Odds 8.54.
Screenshot_20210214-214702~2.jpeg
 
hapo 1x2 and over/under - full time naomba kueleweshwa
View attachment 1702614
over 1.5..kuanzia goli 2 kwenda mbele
2.5..........................3 kwenda mbele
3.5...........................4""""""""""""""""""
4.5...........................5"""""""""""""""""""

Under 1.5..kuanzia goli(0-1)
2.5.........................(0-2)
3.5.........................(0-3)
4.5.........................(0-4)

Na hizo 1.HOME TEAM....2.AWAY TEAM X😀RAW.
 
ukibet mfano 1x2 full time (1.5) -2 under means away team full time iwe chini ya goli tatu s ndivo??
 
hapo 1x2 and over/under - full time naomba kueleweshwa
View attachment 1702614
Namba 1 - timu ya nyumbani(au timu ya kwanza) mfano Arsenal vs Leeds, hapo Arsenal ndio yupo nyumbani na Leeds ugenini.
Namba 2- Timu ya ugenini(au timu ya pili).
Tukija kwenye swali lako hapo, Maana yake mchanganyiko wa Normal bet na magoli(over/under)
Kwa mfano Arsenal VS Leeds wametoka 4-2
Sasa hapo ukichagua 1 maana yake Arsenal ashinde ila match itoe kuanzia magoli 2
 
View attachment 1702625
sijaelewa sasa hapo nieleweshe kwa hapo
Hiyo no Double bet
Chaguo lako Lina maanisha team uipe ushindi na jumla ya magoli yatakayo patikana

Mfano mechi ya Psg Jana iliishia 2-1

Katika Double bet chaguo lako Lina kua

Home win and over 1.5/2.5
Yaani nyumbani ameshinda na jumla ya goali yame patikana kuanzia mawili ama ma3 ukiweka under manaake goli zisivuke idadi utakayo chagua
 
Back
Top Bottom