Mbona inaonesha lost wakati game haijaisha ndio wako 2-1, ila hata benfica hapo umemuua. Nazani ulibet pasipo kuelewa vizuri hiyo iption. Ukitala over/ Under tumia zile za juu (second or third option) hizo mfako hapo ungempa Benfica ashinde na magoli matatu 1 & over 2.5 japo game imeanza punde.View attachment 1702625
sijaelewa sasa hapo nieleweshe kwa hapo