Nauliza
Mkuu usidanganyike hamna app yenye hata asilimia hamsini accuracy,ndiyo maana betting ni ngumu sana. Nikutahatharishe tu usije kutoa hela ili upate odds za uhakika iwe kwenye hizi apps au social media nyingine itakula kwako. Nikuulize swali,wewe ulitegemea jana Ac Milani akalishwe chini na Spezia? Betting ni bahati mkuu hamna kingine