Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu dortmund yupo 10 points clear mbele ya h.berlin kwahyo bado ni favorites, ukiangalia gem tatu za h.berlin ambazo kacheza recently unaona anavyo straggle against timu zilizo mwisho wa table akiwa home na away pia.. lakini mbali na hayo bet bado ngumu sana kwakuwa hamna kitu chenye uhakika. kitu cha kushangaza zaid ni dortmund kushindwa kuscore atleast goli moja kweny mechi nzima na ndio iliopelekea jamaa kuloose 1.5m na bayern kushindwa kufunga goli moja ndio mtu unashangaa unachukuliwa mke wanamweka ndani ya gari lako wanasepa nae..
Agreed! Mkuu kawaida nikiona game inaumiza kichwa sibet kabisa
 
0752-109265

Pia kama Kuna mtu Ana group zuri la Mafundi WA kubet basi aniadd phone calls zangu Ni 0767258286

0752109265

Naomba mni_add ktk group la betting WhatsApp. My no is 0769743787.

Na me pia naomba mniada kwa grupbettn WhatsApp. 0766854002 ma dial

wakuu naomba mniadd grup 0653530307

Naombeni msaada wa kuunganishwa ktk whatsapp group betting no,0755386937

Whatsapp Gp
0654926626
Huu upuuzi hatuutaki hapa. Kama vipi mwende kule fesibuku....
 
kuna kitu kinaitwa asian handcap(AH).. Bookmakers wengi hawaipendi kwasababu inahusisha sana stake refund kwenye kesi za draw. hii ni moja ya sababu itakayo nifanya nihamie kwa bookmakers wa nje kama bet365, bwin na wengneo..
ngoja niicheki kuna siku nilikuwa na review hizi asian handcup nikaona zinanichanganya nikaachana nazo
 
walioharibu wamefikisha goli 5....
 

Attachments

  • za uso.png
    za uso.png
    4.5 KB · Views: 38
Back
Top Bottom