Pazmanian
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 984
- 1,353
Kweli kabisaa hii mambo sio kabisaa michezo ya kwenye fesibuku hio na whatsapp ..tupia mkeka kabla ya mechi kama hukutupia na mkeka ukatiki vunga arifu haina aja ya kuleta hapa.Kuna watu humu wanamambo ya ajabu sana mtu badala ya kudondosha possible humu kabla ya mechi mtu haweki hizo mambo afu anakuja kuweka mkeka aliokula...hii inakera sana sasa cjajua unakuja kuonyesha ujuaji wako au vp..jukwaa lipo kwa dhamira ya kumfirisi mhindi na sio kuja hapa kuonyesha umwamba wako