Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Mi nimehamia mkekabet. com jamaa wako vizuriHawa meridian wamekua magumashi sana
hawa mkekabet nao mizinguo mingi mi niliweka hela ikawa aionekani online mpaka leo hii sijaiona ukieapigia simu hawana msahaada wowote zaidi ya kunambia imo wakati mi nkizama online siioni..Mi nimehamia mkekabet. com jamaa wako vizuri
wana odds nzuri na kuweka na kutoa hela ni chini ya dakika 5
Tatizo lao bonus yao ndogo sana
Shida wanaoption chache.....Mi nimehamia mkekabet. com jamaa wako vizuri
wana odds nzuri na kuweka na kutoa hela ni chini ya dakika 5
Tatizo lao bonus yao ndogo sana
mwezi wako huu mnyooshe..walau....kamtaji kanakua.... kikapu nacho ni kizuri
Hongera mkuuView attachment 322241 Dah Mungu mkubwa nimerudi rasmi kwenye betting na nimepata 190000 na nimemlipa magufuli kodi ya 40000
Mkuu huwa nakuelewa sana aisee hongera na endelea na moyo huo huo wa kushare na wengiwalau....kamtaji ....kanaongezeka
Mkuu jalibu ku logout kisha u login itaonekana mimi mwenyewe imenitokea sana hiyo kitu fanya hivyo tuone.hawa mkekabet nao mizinguo mingi mi niliweka hela ikawa aionekani online mpaka leo hii sijaiona ukieapigia simu hawana msahaada wowote zaidi ya kunambia imo wakati mi nkizama online siioni..
Natumia bet365 mkuukampuni gani?