Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hv ebu nisaidieni wenzangu maana ya ZERO BET kwene meridian
Zero bet huwa inatumika wakat mechi inaendelea eg mechi ikiwa may be dkk 50 na matokeo ni 1-0 unafuta yale matokeo unatabir mshind n yupi or sare. Eg ukitabir zero bet 1 mean huyo anaeongoza afunge goli jingine na mechi iishe ameshinda .
Zero bet 2 wa away achomoe na mechi iishe 1-1 au mwenzake akiongeza yeye pia aongeze. Na zero bet draw the same concept applied
 
Leo nimemuamini,coz kamfunga mwenzake mara 3,yy kafungwa mara 2,hawajadraw hata mara 1,Istanbul yupo nafasi ya 4 na ana good record of home matches wakati mpinzani wake yupo nafasi ya 10 na hana good record of away matches.The last point ni,odd aliyopewa ISTANBUL mara nyingi inatoa.
Mkuu mc chere njoo umuone istanbul huku kesha mwaga ugali
 
Ah,only in Turkey and Italy anything unexpected can occur,so ndo betting ilivyo The asker
 
Cambuur v Utrecht 2-6
Rennes v Angers 2-6
Gijon v Rayo Vallecano 2-6
Carpi v Rome 2-6
Pescara v vicenza 2-6
Burton Albion v Chesterfield 2-6
Gent v mouscron 2-6
Banfica v Porto 2-6

Odds 11.....unaweza muongeza mainz v schalke 04....
 
Zero bet huwa inatumika wakat mechi inaendelea eg mechi ikiwa may be dkk 50 na matokeo ni 1-0 unafuta yale matokeo unatabir mshind n yupi or sare. Eg ukitabir zero bet 1 mean huyo anaeongoza afunge goli jingine na mechi iishe ameshinda .
Zero bet 2 wa away achomoe na mechi iishe 1-1 au mwenzake akiongeza yeye pia aongeze. Na zero bet draw the same concept applied
nimekuelewa vizur kabisa
 
ZERO BET ni in-play bet ambayo haijali matokeo ya mda huo game inaendelea na kugeuzwa kuwa 0-0 (unatabiri kama game ndo inaanza ikiwa 0-0)..

mfano: dk ni ya 55 ubao wa matokeo unaonesha (simba 2-3 yanga)
kwenye zero bet dk hiyo ya 55 matokeo yanageuzwa kuwa (simba 0-0 yanga)
kwahiyo unabet 1X2 ya kawaida kuanzia dakika hyo ya 55 mpaka 90.
wewe matokeo ya mda huo hayakuhusu

matokeo yakiwa 3-3 dak 90, maana yake matokeo yako ni simba kashinda 1-0 nk..
asante ase nimeilelewa hiyo concept
 
Hii meridian leo vip...mbona net yake inasua sua au ni kwangu tuu
 
Bourg peronnas v stade lavall 2+
Dijon v sochaux 2+
Ajaccio v Clermont 2+
Consolat Marseille v chambly 2+
Bastia v frejus St. Raphael 2+
Racing Strasburg v sedan 2+
Lucon v colmar 2+

Odds 10.3
 
Hakika hii nimipango ya mhindi...yaan toka asubh nahaaa kusubmit mkeka unakataa
 
3ced090b18b9eca6af20b765fcec2d4d.jpg

Kuna huu mkeka nataka niutie buku 55000 wandugu but nataka nmtoe juve coz anacheza wiki ile nyingne return yake 200000.
Naomba maoni
 
Bourg peronnas v stade lavall 2+
Dijon v sochaux 2+
Ajaccio v Clermont 2+
Consolat Marseille v chambly 2+
Bastia v frejus St. Raphael 2+
Racing Strasburg v sedan 2+
Lucon v colmar 2+

Odds 10.3
hii ni over mkuu
 
3ced090b18b9eca6af20b765fcec2d4d.jpg

Kuna huu mkeka nataka niutie buku 55000 wandugu but nataka nmtoe juve coz anacheza wiki ile nyingne return yake 200000.
Naomba maoni
Ol the best mkuu .cjaona tim itakayo kunyima pesa hapo...juve atashinda ondoa shakaa
 
Back
Top Bottom