Zero bet huwa inatumika wakat mechi inaendelea eg mechi ikiwa may be dkk 50 na matokeo ni 1-0 unafuta yale matokeo unatabir mshind n yupi or sare. Eg ukitabir zero bet 1 mean huyo anaeongoza afunge goli jingine na mechi iishe ameshinda .hv ebu nisaidieni wenzangu maana ya ZERO BET kwene meridian
Mkuu mc chere njoo umuone istanbul huku kesha mwaga ugaliLeo nimemuamini,coz kamfunga mwenzake mara 3,yy kafungwa mara 2,hawajadraw hata mara 1,Istanbul yupo nafasi ya 4 na ana good record of home matches wakati mpinzani wake yupo nafasi ya 10 na hana good record of away matches.The last point ni,odd aliyopewa ISTANBUL mara nyingi inatoa.
Oklahoma v Orleans... Under 222.5 odds 1.58
Milwaukee v Washington.... Under 214.5 odds 1.52
ODDS 2.4
nimekuelewa vizur kabisaZero bet huwa inatumika wakat mechi inaendelea eg mechi ikiwa may be dkk 50 na matokeo ni 1-0 unafuta yale matokeo unatabir mshind n yupi or sare. Eg ukitabir zero bet 1 mean huyo anaeongoza afunge goli jingine na mechi iishe ameshinda .
Zero bet 2 wa away achomoe na mechi iishe 1-1 au mwenzake akiongeza yeye pia aongeze. Na zero bet draw the same concept applied
asante ase nimeilelewa hiyo conceptZERO BET ni in-play bet ambayo haijali matokeo ya mda huo game inaendelea na kugeuzwa kuwa 0-0 (unatabiri kama game ndo inaanza ikiwa 0-0)..
mfano: dk ni ya 55 ubao wa matokeo unaonesha (simba 2-3 yanga)
kwenye zero bet dk hiyo ya 55 matokeo yanageuzwa kuwa (simba 0-0 yanga)
kwahiyo unabet 1X2 ya kawaida kuanzia dakika hyo ya 55 mpaka 90.
wewe matokeo ya mda huo hayakuhusu
matokeo yakiwa 3-3 dak 90, maana yake matokeo yako ni simba kashinda 1-0 nk..
kikapu kizur aseBet won
merdian wiki nzima hii aieleweki siyo kwako watu wengi wanalalamikaHii meridian leo vip...mbona net yake inasua sua au ni kwangu tuu
Hawa jamaa wanazingua tena kama kesho ndio kuanzoa asubuhi labda uutengeneze leo kabisa mkeka wa keshomerdian wiki nzima hii aieleweki siyo kwako watu wengi wanalalamika
Kimtindo kama imeachia..... Nimetupia mkeka mmoja bado huu wa wafaransa wa2+ ndio Meridian imeanza kuzogoaNi kote ndg yangu sijui mtoto wa inzi kaipataje
hii ni over mkuuBourg peronnas v stade lavall 2+
Dijon v sochaux 2+
Ajaccio v Clermont 2+
Consolat Marseille v chambly 2+
Bastia v frejus St. Raphael 2+
Racing Strasburg v sedan 2+
Lucon v colmar 2+
Odds 10.3
Ol the best mkuu .cjaona tim itakayo kunyima pesa hapo...juve atashinda ondoa shakaa
Kuna huu mkeka nataka niutie buku 55000 wandugu but nataka nmtoe juve coz anacheza wiki ile nyingne return yake 200000.
Naomba maoni
ndio ni over, ila ni over 1.5 (yaani goli zianze 2)...hii ni over mkuu