ok ikizid 3 sio overndio ni over, ila ni over 1.5 (yaani goli zianze 2)...
tupia waleosijawahi kupigwa na mhindi mazima... nikibeti lazima mkekeammoja utoea majibu sahihi.......... mwisho kumpiga ni jana 132,872/= na bado
Tupia possible maneno mengine utamalizia keshosijawahi kupigwa na mhindi mazima... nikibeti lazima mkekeammoja utoea majibu sahihi.......... mwisho kumpiga ni jana 132,872/= na bado
Hongera mkuu.. ila kama tu uliwekaManchester united vs Sunderland 3+.. odds 2.08
Stake 250000
Return 520,000
Naaachaje sasa kueka, nueke hapa mezani afu nisitie dau.. ngoja nkatafute ticket ya Ramada. kesho nkateketeza faida yote na shemejiHongera mkuu.. ila kama tu uliweka
Nimeacha team inayoniokoa kila wiki (oxford) nimeachagua Everton. Mkeka upo matataniEverton anazengua wakuu