hongera mkuu but..unabetia meridian au premier au wap wewe?
Dah sijabet siku nyingi....nazani weekend hii nitarudi kwa kasi ya ajabuuuu...
Wazee wenzangu hamlali
Hakunaaa nina formation mpyaaa ya 3-5-2...Lazima mzungu a R.I.P
Wazee wenzangu kesho mechi za kumwaga
Za kutoshaa ni kutiluzaaa akili tu...wakubwaa
Leo nomaaa najipanga kesho lazima mzingu a R.I.P
mikeka yangu yote mbet chaliiii,
Duh! Kumbe wenzangu msharudi kazini long time, leo championship inaanza.
Wazee wenzangu leo mikeka wapi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ligi zipo nyingiii tuu, ushindwe mwenyewe.. subiria waamke waweke mikeka sumu humu