Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hebu wekeni mikeka mipya maana naona imeanza chanika vile kwa watu wengine, ila hii wiki lazima nizalishe zote walizokula
 
Leo pesaaaa
dotmund✅ win
rijeka✅ win
petrolul ✅ win
sharktor s✅ win
Cty win
 
hivi hawa wachezaji wanajuaga kua watu tumeweka mizigo au wanacheza na pesa za watu tu? Man city wamezingua sana
 
kuna mtu humu alisema anampa city laki moja,,, cjui nani ???
 
man city kanvuruga hapa sijitambui..... groningen..psv....ajax...kaiseralautern....NEC nadjmwn.... yaani kabaki yeye na monaco na benfica.....afu ndio kama kachana tayari...
 
Dah hata sijaangalia account zangu najua kilio tayari. Nikiwa Goba nikapokea sms hii leo ningempa Arsenal ningekuwa nishakula hela.... hapo nikajua arsenal kaua mtu nikajua hela yangu byreee.
Yaani mikeka kumi imechanika kisa Arsenal,dortumnd
 
Back
Top Bottom