Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah hata sijaangalia account zangu najua kilio tayari. Nikiwa Goba nikapokea sms hii leo ningempa Arsenal ningekuwa nishakula hela.... hapo nikajua arsenal kaua mtu nikajua hela yangu byreee.
Yaani mikeka kumi imechanika kisa Arsenal,dortumnd

pole ndugu lakini ndio maisha hayo..
 
Dah hata sijaangalia account zangu najua kilio tayari. Nikiwa Goba nikapokea sms hii leo ningempa Arsenal ningekuwa nishakula hela.... hapo nikajua arsenal kaua mtu nikajua hela yangu byreee.
Yaani mikeka kumi imechanika kisa Arsenal,dortumnd

Pole mzee mwenzangu saa nyingne inabidi uwe unacheza kinyume mpira wa leo sio wa jana,
 
Siku zingine sitafata ukubwa wa timu bali hisia zangu
 
nachezaga normal sana..cap za meridian sijazoea.... mfano nikitaka kumpa mtu cap ikaweka -1.5 hapa inakuaje..!!! 2-0 si inakua umepata au..... ? maana naweka manormal meengi afu napigwa za uso..
 
pogon...orgyte...odessa...derby...starjanan...efsberg...... napiga hesabu kwa 6000 unapata112000......
 
Yaani sasa ili kupunguza risks za kupigwa ni bora uwekeze katika idadi ya magoli per match i.e 3+, 2+ nk na sio nani anafungwa.
 
Yaani sasa ili kupunguza risks za kupigwa ni bora uwekeze katika idadi ya magoli per match i.e 3+, 2+ nk na sio nani anafungwa.

nayo ni bora..... jana nimewapa kaiserslautern goli 3+ wameishia 2...... akachana..kotekote kuna risky
 
Back
Top Bottom